What is your favorite food combo

kwani bonobos mnapendanga kunde sana ivo

Na mrenda. Infact kunde mixed with mrenda huwa tamu ajab

Cat Fish,ugali ,managu na Mango juice hapo sawa .Kobe beef stew and rice with Mango juice ,hizi mbili nakula 80% of the time.
Mandizi na waru za kupikwa is my worst possible meal

Chapati madondo is underrated. Grossly.

Gwaci + avocado. Haiwezi nichosha.

[ATTACH=full]490824[/ATTACH]

Food I can eat for the rest of my life bila kuchoka. Hizi zingine taste buds zitazoea uchoke in a week.

Tena arimis ile kubwa!

[ATTACH=full]490826[/ATTACH]

:D:D:D

Hio sasa ndio inaitwa long-term relationship :D:D

Banae. Kijana aliskia kuna super gonorrhoea akaamua kuchukua matters in his own hands. Akaamua kuwa HAND-some :D:D:D

:D:D:D

:D:D

Sisi wa beef daily tukae wapi…

Mbuzi (choma, fried, boiro), managu and ugali

Ugali/kunde greens/fish fillet/mango juice