What is your favorite food combo

What food combination would you happily eat at least once a day for the rest of your bonobo life

[ATTACH=full]490737[/ATTACH]

t

tafuta bibi bro

Hizo chaloo ni kama za kibanda ya watu wa mjengo ama zingine hupikwa na wamasai

Chapo poa hukaa hivi
[ATTACH=full]490747[/ATTACH]

Alafu hio Aramis inafanya nini hapo ?

hehe, labda arimis ndo bibi

This looks unappetizing. Kwani hamna nyanya or some tomato paste?

kwani maasai hupika chapo, si niliona documentary diet yao ni maziwa na nyama pekee

Wanajifunza

Matumbo boss

you need prayers

Enjoy your Bamuda & Triangles. Bure kabisa. Ngombe ici

Matumbo ya mbuzi au ngombe na ugali or rice.why do I need prayers na hiyo food ni delicious.

:D:D:D Ako shtand by, jamaa akishashiba wanaruka kitandani ka re-match any time, anywhere

…ugali, mboga, beef na avocado hunifanyia ka majic :smiley:

Chips na mattercore ya Dem

first course beef, sembe na skuma

second course sembe na maziwa fresh 500 ml , sikunywangi maziwa mala .

1.Smoked fish /smoked chicken stew ugali and kunde. Mimi hupenda kunde banae hio mboga Huwa tamu especially if you have them fresh from the farm. With maziwa Mala baridii
2.Chapo na ndengu
3.Steaming hot boiled Fresh big lake tilapia head soup yaani engine not that Chinese crap you guys eat.
4. Mlima. Yaani fist sized pieces of beef on bone slowly boiled with full sukuma wiki leaves no need royco or any other spices. Just the bone marrow goodness soup and veggies with chilli. Perfect for hangover
5. Pilau ama biriani ya raw paw paw with that cooked chiiliies sauce damn! No need to explain
6. Pork dry fry
7.Roast goat dry fried in tomatoes
8.Pork dry fry na pilipili miiingi
9. Mboga kienyeji na maziwa Mala baridi
.
That is my weekly menu

Ugali + Kunde + (Avocado + Pepper) + Beef

Kunde is by far the tastiest mboga boss ama vipi?

I agree with you hapo kwa beef