What is your experience with Equity bank? They have been trending this week

[MEDIA=twitter]1623215638230536192[/MEDIA]

Even owners of equity pank don’t bank their money there.

Wakenya wamesoma lakini hawatumii akili. Watu wa kupoteza pesa equity bank huwa wamepeana details zao kwa strangers.

Watu watapiga kelele, lakini ukipeana details zako kwa strangers pesa itapotea tu.

HSBC Bank tuko ngangari

paybill walinikata 33 kulipa 1k

It’s just today morning i received the usual fake equity customer care call asking me whether I have received the codes for upgrading my equitel. Hehehe, nilimwambia atumie nyanya yake kwanza.

Equity bank iko tu sawa. If you’re careless, your account can be wiped clean even if you bank at Central Bank (pun intended for the slow pokes)

How now? Kwani uende na panga ulinde bank?

Kwani hizo details hu succeed kwa equity bank pekee,ama hao fraudsters hutafuta tu watu wenye wako na account huko na sio bank zingine

:D:D:D:D:D:D !!!

Most of it huwa insider job. Iko siku nimebank 300k NCBA. Jioni 5 pm na pigiwa simu na stranger. Ati ni worker NCBA that number was very fishy. Calling me asking about my Account. Bla bla Iko na shida. Asked Niko wapi. I told him siko Nairobi Niko Mashambani laikipia na huko hakuna network coverage I can’t access my loop. He told me I can access the account using SMS SSSD. I told him I don’t know kuhusu SMS. I answered him kesho I will go sort with the bank branch in Queensway Drive. Wasinipigie simu. Kesho yake hio pesa I paid for the stuff that I needed from China.
Umuhimu account isikae na pesa.

Waliniibia more than 400k in 2018. Hio account sijawahi weka hata sumni. Hio pesa ilikuwa payment ya shughuli fulani nilifanya in three counties. Thank God sikuweka my mbirrions in one a/c. Hio cash nilikuwa nime set aside nilipe deposit ya shamba fulani. Ilibidi they add me some more time. Equity bank ni ya ukora.

Equity ni bank ya kuweka pesa ya day to day living pekee

io ndio bank mnatoa pesa kwa agents. watu wote wenye huibiwa pesa equity bank wako similar, hawajaenda shule. ni wazazi wa ocha wameenda kulipia watoto fees, na wale watu hupeana ATM card itolewe copy side zote.

Cases zote za wizi ya pesa equity huwa zinakuwa reported kwa social media na watoto wa victims.

Watoto, elimisheni wazazi.

Last time i entered equity was more than 6yrs ago. They cam go to hell

Equity branch gani.

Ya oriosh. Hio ndio my first bank account…0320…
Niliboeka sana. Nilifika kwa branch manager akanisho wanashughulikia, kurudi naona hawajafanya any. Nikasoma complaints online, hapo nkaamua tu kujiondoa kiroho safi.

08 ulikula damage kiasi gani?

Wakati huo Bado nilikua a millionaire anacheza ligi ya Stanchart bank

Hizo enzi kuwa mbirrionaire was easy.