Kenya needs stringent labelling laws. What are “permitted colors and flavor(ing)s”? What is “vitamin & mineral premix”? What “surfactants” are in my detergent? Kenyans consume stuff they don’t know and don’t seem to care about it. The new Soko NutriGo ugali unga literally has SUGAR!
At last. Someone who cared to read the label.
is that added sugar , or natural sugar found in maize ?
this is how sugar is hidden from consumers. add sucrose and glucose to that list.
[ATTACH=full]498795[/ATTACH]
Nunua mahindi uoshe usiage
Eat more greens and cereals
Reduce fats and oils in your diet
Avoid sugar and artificial seasoning
Drink lots of water
Exercise often
Wacha umama chifu
Hii ni kazi mingi na tutakufa tu soon . Lucky is @uwesmake who despite all the poisons he is consuming , he romped 1000 sluts and got infected with okedi therefore he will die as he deserves
Lease shamba 10-15k per year, panda mahindi yako.
Hii ya kununua huwa sprayed na organophosphates to control false army worms then dried using some banned chemicals.
Hio miaka yote nianze saa hii kukimbizana na surfacunts and cornstarch? Bazungu ndo wanakufa na chakula yao, hapa bonobostan ni bilharzia, pepopunda na “naskia wueh” zinatumaliza. No time for pantythenic acid
[ATTACH=full]498838[/ATTACH]
Wî museo mbaitu?
Hizi unga za GMO uta Nona mattercore moja
We live by God’s mercy. Ile Sumu Iko Kwa blood stream hata Clarions cannot scavenge human body.
Mimi hupanda mahindi pale njoro on half an acre na hua inatosha mwaka mzima hadi napeana ingine jwa relatives
Mimi kama mkaaji kainuk naikisoma labelling ya usaid naona iko na monosodiumglu… heri nife njaa.
Vitamin supplements ya mtoi iko na xyitol heri twende ahera.
Juu ukisiaga bila kuosha utakuwa umeifortify na dudu dust yenye farmer aliweka for storage.
Vipi Gashwende
monosodium glutamate (MSG) ni the best flavour for food according to Americans. Na suspect hata huku Kenya unaweza buy packet ya crisps kubwa umalize na bado uko na taki ya kuchukua ingine juu ya hio MSG.
Bado utakufa tu