What is the strangest thing you have ever done?

Mimi niliwahi kuwa ulevi. So nikapatana na jamaa tukajuana juu sisi wote ni team Chelsea. After two weeks I realize that the guy comes drinking peke yake. Then akaniambia nimpeleke kwa in-laws for introductions side ya bibi yake because he has no friends:eek::eek::eek: Nilipeleka jamaa kwa in-laws wake Kirinyaga tukachinjiwa mbuzi huko. Halafu tukadaiwa mbuzi moja akasort. We left the place very happy mpaka nikashangaa sana kwani watu wa Kirinyaga hawana pupa. The guy is still my friend, but that is the strangest thing I have ever done. He thanks me hadi leo. I have never done such for a person nimejua just two weeks, I surprised myself.

Hahahahhahahah.there’s more than meets the eye…
Tebu kujeni msikie huyu

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

your skin betrays you

Kupeleka jamaa kwake Ndio wife aamini hakuwa anakunywa pombe na wanawake.

I once emailed a crocodile.

Kwani hii jamaa inakuwanga braun skin?

What skin. If a guy tells you anataka kwenda kwa in-laws wa bibi wake, na hana marafiki what do you do? I used my own car and fuel to save the guy. That remains the strangest thing I have ever done but we still drink together sometimes. Ukiona mwanaume akikwambia hana mabeshte, you save if you can. Plus it was a nice way kujua Kirinyaga.

I made a friend. That’s all

:D:D:D This thing inakaa ambiguous. Jamaa alikuwa anataka nimepeleke kwa akina bibi yake Kirinyaga introductions.

Perverts

but you have a way with guys,they always pick you

Hehehe this will be very interesting

mrs fourthdick anakutafuta

niaje kwa bar ni majamaa huwa unakatiana nao ule mzee mwingine alikununulianga pilsner kumi akakufungua boot , sema tu uko on the other side atuta ku judge saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaa

Tuko naye hapa maybe umekutana na imposter

https://i.giphy.com/media/3o7TKoWs7zuE6nXDr2/giphy.webp

Fungua loho useme yote. Sijui kwanini a certain phrase imeniingia nikisoma hapo. The phrase goes …" Am here, am queer…am mtu Random"

Huwa siendi kutafuta kuma kwa club kama wewe. Niko na kuma holders nyumbani.

Moral of the story; Chelsea fans make ride or die friends :smiley: