What happened to this guy Patrick Kiige, was he ever found

I was browsing the web and remembered his missing story from 1 year ago. First year med student, drove off in a mobike to do exams but was never seen again. Lived in Jamu Estate. Bike had foreign plates. Hapo YouTube ni maombi tu. Ama jamaa aliruka Rwanda kusafisa mesho? Has anyone heard a story from behind the grapevines ( wash wash, matap tap, love triangle…?)

[ATTACH=full]462317[/ATTACH]
[SIZE=1]Cc: crime scene @TrumanCapote [/SIZE]

The number of people that go missing without no clue ni Wengi sana…I was surprised kujua that ata mtoto Wako after 48 hrs akadisappear …humpati n’go…

…unless u get the world to care na ni ngumu

…lakini…Wacha binadamu ikasirishe any serikali…watakutafuta hadi embotut forest hadi wajue uko wapi :D:D

The dci is more concerned about installing Raila to power

Reminds me of some prominent lawyers who have gone quiet:
Patrick Kiage
Haron Ndubi

Kuna ule beahte ya Steve mbogo alidisappear juja

Si ata ile jamaa Dafton Mwaitiki hajawai patikana.

Gitobu Imanyara

Comedian Geoffrey Mwangi aka Kianangi
Blogger Dickson Bosire Bokongo

Nilihurumia mzito sana after kuona Netflix juzi vile walisaka elder wa antivirus John McAfee na wakammaliza ki Jeff Epstein…kwa jela in Spain…after amekimbia Dunia kama yote hadi akasota

noma sana…manze huwezipotelea serikali ata ukatakajificha yet watu hudisappear ovyo…

It’s simple…serikali haijali kukutafuta…ama already wanajua pale uko…ni ngumu kuwashinda kujua ulipo

Si Kiage is now a judge ?

Kianangi si ali die na akazikwa, ama?

The dude played with the wrong guys. Kwa lugha ya mtaa tunasema alikanyaga wire ya stima. He kidnapped a grandkid to a former KANU bigwig. Very stupid of him. May his soul rest in peace.

wacha ujinga , Patrick Kiage is a progressive Court of Appeal Judge . anaelekea SCOK but we cant allow progressives in SCOK , homos, aborrtions and other evils might go through

Mmesahau this security expert.Mwenda Mbijiwe

https://nation.africa/kenya/counties/meru/finding-mwenda-mbijiwe-the-meal-missing-security-expert-is-yet-to-take-3847274

Haron Ndubi ako rehab perhaps

He used to chew unemployed peoples money promising them fictitious jobs.

Rehab ya nini ?

Young musician C-zars kabla afanye KCSE 2004

hio swali sioni vile jibu itakusaidia . achia wamama kina @TrumanCapote waulize such questions waende wapige gossip kwa brothels

You seem to know more than meets the eye. Kwani alikuwa jambazi ama ned student?