WHAT HAPPENED TO KENYA MPYA BUSES

Siku hizi siziskii sana

Nairobi->Kangundo Rd → Malaa route.

2 Likes

Huwa hata haziko viile. Moja moja na nka inaenda na masaa.

I think they changed their brand name to Neo Kenya

2 Likes

Zinajiita Lothian but zinaona vumbi.

1 Like

Ala hao ndio wali rebrand

1 Like