What do you do?

Alafu hapa naona mzae atakuliwa huyu Dem. Amejaza matako kwa dera akipita mbele ya my uncles naona wakicough na ku adjust trousers.

Alafu ni hawa made wamelelewa coast, kila time anaita mzae “mume wangu” Hadi kina madhee feel uncomfortable

People can’t even fcuk in peace

You are a teacher. Kama ni shamba nunua yako. Unless mzae ni dynasty hakuna kitu ya maana una ngoja ku inherit. Have your own possessions ndio uwache kuona ya mzee inaenda na young soft tender meat Mdigo.
What your mzee does with his dick is none of your business. Si uko na yako?

wacheni mzee afanye vile anataka, bora asikuwe burden ama aanze kuvuruga boma. wazee huitaji kitu ya kuwatoa baridi wasikufe mapema. Focus na mama na watoto wako.

Ata ivo, mambo za boma huwa complicated. Kitambo nilikuwa naongea sana lakini through experience nimejua kunyamaza.

Mwalimu hapa huna bahati, Wadigo ni wakukuseduce videadly huwezi amini. Mzae hapo hata jitoa, mambo ni kupikiwa biriani, kumassagiwa, kuguzishwa haga hadi apeane title deed. Akipass mdigo anangea na crooks kwa lands mafukuzwa boma yenu mkakufie kwa kichaka. Mtafutieni scandal ya kudinywo kwa kichaka mpaka picha zifikie mzae amfukuze

Kama wewe ni dynasty na mko na mashamba or mali mzuri, convince mzee aanze kugawa mapema. Otherwise, mtakuwa na shiiiiiida baba.

Ongea na mdigo vizuri and befriend her. Just in case mzae alemewa na bedroom matters, mdigo akupee hiyo mali usample:D:D Mali ya mzee isikulwe nje buana na wewe uko:D:D

I pity the girl tho

Anyways sioni shida becoss you did nothing when the second waifu came, suddenly it’s a problem because your father has taken a third waifu?

Anyways mtaoshwa kisasa.

Boss theres nothing you can do na itakuwa worse kama your dad bado anakunywa pombe…yaani akina ka routine ya kunywa like every evening with his pals halafu occasionaly analewa chakari…huyo mzae amego hauwezi mrescue…im sorry to say this but kitu hufanya mtu in this state ku change ni kitu drastic and very sad…like lets say his favourite kid from for example the first wife adedi…hapo ndio mtu amechanganyikiwa huamka.

Like elder mmoja amesema story za boma kwanza polygamous ni noma.

From experience now…dont invest in that boma UNLESS mkona a majority of kids with a common front…strength and safety in numbers.

Buy shamba na ujitoe…na by the way kuna kitu nitakuambia and take it seriously…as the mdigo sinks in her teeth and nails relationship yako/yenu na baba yenu itabadilika milele and most times for the worse.

Encourage your mum to steer clear of the mdigo kama ni mchaotic.

Good luck.

Leta hekaya mdau.

Maisha ni yake, shugulika na yako