I downloaded movie files na some videos (mp4 n mkv) but ikifika ni kuplay inaanza vizuri alafu inafika point fulani inastop pap! Nimejaribu different players but shinda ni hio hio. Funny thing is every video file nimedownload imekuwa ikibehave hivyo sasa. Serikali saidia. pliz ukicomment ujue the Pope anacome
have you tried mpc-hc?
means hakucomplete kudownload
vlc, mhc, gnome, wplayer
nope, zilimada, sio file moja, its all the downloads i have done, but problem ni media files anything else iko sambamba
Na uko na shinda mingi kweli
umeona ngapi?
una download frm wrong site
shida ni site sana sana …ebu change uone
tupa hiyo flashdisk
Vlc mambo yote
i have downloaded form multiple sites so that cant be the issue
Vlc mambo yote
ni lapy bana
I think ni downloader, nimekuwa nikitumia idm, lemme change nione kaa italeta unyefu unyefu
jaribu eagle get uone…
@protech , i am idle so i googled a solution to your problem and this is what i found–> All peeps are suggesting that one shud use VLC player like @abdirahmany has suggested. Tough luck
good idea
Infact [SIZE=5]vlc ndio iko na umama mwingi[/SIZE] afadhari [SIZE=4]mhc ama wplayer[/SIZE]
Sasa,kukuja kwa pope n your doubtable downloading skills zinaingiliana wapi. AMA untaka tumwambie aombee those questionable skills?