At home, Buda alikua ana buy cussons.
So?
Hii ndiyo version ya late day talk ama?
COOMER
Panga soap. Swali?
Ushindi
hehehe…
ndithambaga na thabuni wa rexona ndigathurwo ni tuiritu.
Rexona ile ilikuwa na an embossed figure of a naked girl-- a bootylicious naked girl.
Good luck with your research, BUT Boss keep off OMO.!!!
kipande
Jamaa
Cussons ama ile ya blue ya nguo ndio pia ilikuea ya kuoga
Sandarait (Sunlight)
lifebuoy was it but ikisha before month end…we made due with kipande
Asepso, toyo na ikiwa mbaya tumia ile humea msituni na inakaa ndisi kubwa
@Colombo-Combolo naskia hii ilikuwa ya harara.!!!
[ATTACH=full]14494[/ATTACH]
Lifebuoy ya tene for boarding lakini mtaani ni kipande ile ya brown. Ilikuwa inabidi usoak soap kwanza ishike maji poa.
cussons but ni mum alikuwa akinunua vitu kama hizo.
the earliest version of that smelled like isht.
we used Toyo
Huyu @cortedivoire naona kama anafanya research ya sabuni poa ya kupiga kawasaki