What are your thoughts on mob justice? Is it primitive? Does it work?

jamaa achapwa kichapo cha mbwa! kwa kumuumiza mtoto

https://www.youtube.com/watch?v=UqJS_zOmKRA

Some people deserve to be given justice in the only way they understand.

Mob justice saa zote hufanywa na watu illiterate wenye hawakuenda shule na akili zao ziko thick. Ata ukichinja ng’ombe hufanyi ivo kwa barabara ama kando ya maduka.

But ana deserve hyo kichapo ama?