Bazuka
21
Ya kwanza na ya mwisho napenda sana
Bazuka
24
Uyu jamaa amefanya skit ya ma-fathers, internet ni muhimu, nostalgic
https://www.youtube.com/watch?v=ERZ89VvGe_0
Kuna hii ninja @Bazuka ameshare ngoma moja ya Kali nikakumbuka song yake moja ya kitambo kidogo sidhani watu wengi wameisikia. I think its a good one.
https://www.youtube.com/watch?v=dnAPrKugmAk
Mchuna
26
This is the first time am seeing a Kenyan DJ do whats supposed to be done.Any more links to such?
Wake me up before you go by George Michael
Another one bites the dust by Queen
Creep by Radio
Carly Rae Jepsen call me maybe
Is one of the gospel father’s currently a member of the Kansoul?
Bazuka
29
I don think so,Kansoul sini Madtraxx, Kid kora na mejja
Bazuka
30
Cheki channel ya uyo jamaa.Real djing used to happen back in the days with compe and shit, zile enzi kabla ya cd na mp3
Bazuka
31
Sikiza uyu Span 1, alikuwa moto, zake ziliwa holy hiphop
Juu ft DJ Josh by Span-One | ReverbNation
Huyo kid kora hakuwa one of the Gospel father’s?
Bazuka
33
[MEDIA=twitter]272757919852933120[/MEDIA]
Bazuka
34
Hapana kid Kora is a cool kid hata swahili humsumbua, gospel fathers waliwa wasee wa mtaa na vybes za kidando dando hivi