Kuna buda ameamsha ki-appartment block kimoja kitamu hapo mbele yetu (ama niseme tu “flat” ?). Ok, tuseme ni ki-flat kimoja sumu. Ameisetia backup za maji, Septic and all, as if he doesn’t trust Nairobi Water. Mujamaa ameeka Lami kutoka junction hadi kwa gate ya hio block, in effect tumepata lami bila kuinua kidole. Anyway, nahurumia wale wataishi hio baze coz investment lazima warudishe na uchafu juu.
Soooo, after kueka backup za maji, ma-solar panel…generators (nimetaja generator nikakumbuka ule gavana aliiba ya county akapeleka kwa hoteli yake, wakenya na kukaanga vitunguu) na mengine mengineyo , mujamaa sasa akaanza kueka the other service providers. It feels like hao ndo backup kwake. Thitima KPCL, Maji Nairobi Water…
Sasa majamaa wa Nairobi water wamechimba mtaro wakaekelea hio pipe yao nono, ile ya plastic ngumu hadi kwa hio block, like 4 days ago. Wakafunikia but hawakua wameconnect maji. Leo nimetoka shugli, nimepata majamaa wawili, nimeidentify sura moja ni ya wale wazito wa Nairobi water. Coz walikawia hio area a few days wakiwa hio shugli ya kueka kiwuo. Only that this time hawakua in official garb, na time ilikua ile unaeza sema ni ya over time. wamechimbua ka-section wamefikia pipe, stima ya mogaka imeletwa kutoka kwa duka hadi hapo na extension, na hapo kando kuna
PPR Machine,
[ATTACH=full]164636[/ATTACH]
Blade
[ATTACH=full]164637[/ATTACH]
T connector na plug hizi design
[ATTACH=full]164638[/ATTACH][ATTACH=full]164639[/ATTACH]
Walikua wamekaa tu wanaminya ma-minute maid, hawakua wana-do any, lakini kulingana na ile plumbing kidogo sijui, naona tenants wa hio apartment block watakua wanalipa bills kadhaa zenye haziko ata kwa small-print ya contract. Ole wao.