#WengerOut sacco

Its yet another make-it or break-it match for Le professeur. If he fails to close the gap today, the rest of the matches will be a two horse race (Fwack Tottemshiet).
But am hoping the mid week game buoyed the team spirit inspite of the loss.
My prediction: Everton 1-2 Arsenal
Predictions ziqwom. Haters tegeeni mechi zenu mbali Na hii area.

1 Like

Everton 0 - 2 Arsenal

3 Likes

We always concede goals tukiwa away…always…
Unaona kama Gabriel atakausha Lukaku? Unless iishe 1-3 basi for that 2 goals cushion…

Roho juu na hope pia Iwobi leo afunge–maboy zishaingia grao budah…wacha niruke KODI mara hio hio…tukutane HT ama during the game bao ikiingia

1 Like

Squad ya Wazito

Ospina, Bellerin, Koscielny, Gabriel, Monreal, Coquelin, Elneny, Iwobi, Ozil, Alexis, Welbeck

2 Likes

Wazi jo

1 Like

Goaaaaaaal welbeck

1 Like

Hio 1-2 pass Na Sanchez kali sana. Positive start.

1 Like

Maboyz zina moto leo

Manze Iwobi Jo… Kama angeconvert hio chance tungekuwa tumetulia kiasi…

1 Like

Iwobi goooooooal nlisemaje

2 Likes
1 Like

Hehehe…mchawi.
Stima imehepa saa Ile counter attack imeanza Jo. Hata sikucheki bao… Fwack Kenya power!!!

1 Like

Kama stima hazijarudi download mobdro app uchekie ball kwa simu

Kama hakuna stima hakuna wifi, meaning simu haitamsaidia. 2 up is a good start, defense ya hawa watu iko chini kwa hivyo ya tatu inasija

2 Likes

Aaaaah mm nikiwa on the move mimi ucheki ball na situmiangi Wifi

Everton 6 Arsenal 2
na sijafuata EPL since 2005

Hapo Ni kweli Jo. Safcon wataninyonya bundles kaa mafuta ya kusiphoniwa.:smiley: wacha Tu nitegee hopefully zitarudi soonest

Wacha madharau buda. Yaani unaomba tupewe redcards tatu? Riswa

Upande huu bundles bado iko shida, BTW ujeru ISP bado hukupatia connection even when hauko kejani au wewe hutumia bundles