Welcome back

@Okiya karibu.
While you were away:

  1. @Uwesmakei alibomoa kabati.
  2. Halafu akaua @Panyaste.
    3…

Huyo must be @Okiya bonoko…

@Okiya karibu sana my friend. Tumsifu Yesu Kristu.

Nimepatana na hii kwa eastern bypass .Wacha ni iweke hapa.[ATTACH=full]193337[/ATTACH]

Okiya wa kawaida alikuwa jela ya VIP .

Nimeona hii notification nikashindwa nini inaendlea.[ATTACH=full]193338[/ATTACH][ATTACH=full]193338[/ATTACH][ATTACH=full]193338[/ATTACH]

Niaje salesman, mumeambiana na @Okiya murudi kijijini? Karibu sana…