Habari wana Ktalk,
Leo napenda kuwapatia neema kwa wanao taka kuweka matangazo madogo madogo mtandaoni bure kabisa katika mtandao wa JamiiTalk.
Kigezo ni kimoja tu yaani jisajilin na JamiiTalk kupitia www.jamiitalk.com kisha nenda jukwaa la member only na ingia sehemu palipo andikwa Advertising Forum hapo weka Tangazo lako la biashara.
Matangazo yanayoruhusiwa ni matangazo ya Members tu.
JamiiTalk The Home of Learning. Let the Jamii Talk