Jana nilichapwa na thoughts usingizi haikuja hadi iko 4am na by 6am ikapotea tena.
So from 6am to 4pm nipee just try to keep myself busy. Nimetuma emails kadhaa na some laundry.
Kufika around 1.30pm nikasikia usingizi nikalock hao nikajiwekelea kulala but saa tisa na kitu.
I felt something weird in my mind ni kama msee aliingia kwa hao akacome straight penye niko akaniangalia akaenda
Imediately nilishtuka nikaamka nikaogopa until my sister akatoka shule ndio nimefeel safe.
Its like kuna evil spirit àma pepo chafu inanifuata saa hii nashindwa kulala tena