Weird human behaviours!!!

Have you ever wondered why most people smell their clothes wakizianua kwa hanging lines? Wewe kataa tu na huwa unafanya hivyo kila siku:mad:

Ama harufu pia huwa a good indication that nguo imekauka poa? This is common in ladies, especially wakianua undergarments :D:D:D:eek:
Ni hayo tu!

True na mademu kujifingure wakinusa wakiwa solo .

Tuko lunch bwana.

niaje mod, kindly promote me to village elder, ni hayo tu

Weird talkers.

Mtaacha kuchungulia chungulia majirani Au Siku moja mpigiwe nduru kama voyeur.

ama ukishuta kwa duvet alafu…ama wacha tu:D:D

[ATTACH=full]166488[/ATTACH]

Hehe you have very weird friends, ya maskio naelewa but hii ni fetish ngori sana!

Angusha hekaya!

ni nini bosss!!!:D:D:D:D:D:D