Weh Kitumbo Mbele Mbele Kwa Kuku Na Chips

https://www.youtube.com/watch?v=pz6kNwqQJ_Q

hit after hit that hit the other hit after hit

[Outro : Diamond Platnumz & Harmonize]
Aaagah
Unataka kucheza chura na ingali umesimama
Aaah Inama Inama
Asa waonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unachezaje (Aaah Inama Inama)
Unataka maji ya kisima nawe muoga kuchutama
Aaah Inama Inama
Ebu waonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unachotaje (Aaah Inama Inama)
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aaah Inama Inama
Ebu tuonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unapigaje (Aaah Inama Inama)
Si unataka vya Pool table sa mbona unajibana
Aaah Inama Inama
Ebu tuonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unalengaje (Aaah Inama Inama)

https://www.youtube.com/watch?v=tiGN-cNEqGw

https://www.youtube.com/watch?v=8tCntqQDOdE