Weeknd Manenos(Ulevi Sacco :P)

Niko tu hapa yardy welcoming the weeknd … nimeonelea nisumbue kijiji leo karaki!!!
Huwa sipendi liquor ya brown lakini peasant :frowning: manenos zimenifikicha hapa:D :smiley: :smiley:

Mahaterz bado nawa penda wo…wote

[ATTACH=full]50352[/ATTACH]

kuja hapa yellowstone nikununulie guarana halafu nikukamue

Hiyo ni Ginger Ale.

@Purr_27 Jioni tukutane Space ka kawa, ama ?

mwanamuke anameza shots is my kind kabisa

Tokelezea ninunue Johny mtembezi

Iced tea zilipotea wapi.

peleka ujinga hukooo

alaf ukimaliza kulewa utuwekee ile mbica ya miguu…nataka kugurumisha powersaw

slices leo zinakatwa na powersaw.
mti already ishakua victim

Utakujia panty yako lini

Na mimi?

kuja unywe red wine

kujia

Nikujie nini wakameat? [SIZE=1]Gàthita?[/SIZE]

Sawa! Wapi?

@Purr_27 umemalizia my nail file? :smiley:

sio gathita sema gethita ama githiaka

Na hio kisu ni ya nini madam, ama uko na maembe mbichi na chumvi kwa bag?

Sarova