WEEKEND TRIP TO KAMPALA ANY ADVICE

Wassup talkers,
Any advice on Kampala looking to have an epic weekend…zikam

Given ile accident ya Modern Coast juzi… usikae side ya driver nyuma (sic)

3 Likes

make an appointment with Kabalagala nite life, it never disappoints :D:D

1 Like

All we waiting for ni ile hekaya ya sport car unaenda kubuy

1 Like

Kabla twende mbali, ulibomoa Hii Nyabo???

Hehehe kwani undhani narudi kwanini? Its an invite, Last time i partied at the boarder town leo ni Kampala

But i wrote, iligonga ukuta they dint have papers

clothes & condoms

Tell me more

 1. Beba biro pen ya kujaza form kwa border;
  ambia those fellas who come to saidia mtu
  ati wewe ni literate.
 2. Badilisha pesa Nairobi bureau au Kampala bureau;
  avoid those guys who wear kabutis.
 3. Ukishuka, soma numberplate ya basi ndio
  usiingie the wrong bus after border crossing.
 4. Ukifika Kampala, avoid street kungurus;
  watakuibia.
 5. Kunguru average rates from 30,000USH ONO.
 6. Fikisha threshold.
 7. Submit evidence ukirudi.
7 Likes

Evidence nitamwaga huku will be overwhelming

Safi kabisa kaka. Tutasubiri.

Kunywa 1498cc ya WD40.
You’ll get focus.

I would’ve accommodated you at my place in Entebbe but I don’t know you well, unaweza niibia vitu kwa nyumba. We are on vacation in Zanzibar…

Next time mguys…when you are around, we will meetup…

peasant!!! Niko Maldives na sisumbui

Kunakuanga na jam noma from Entebbe to Kla.

Pia wewe, you want to treat her with 10k ??

Fikisha threshold huko you are now representing Kenya officially

Mandizi huko ni nyingi sana na. Heap,beba kikapu urudi nazo