Weekend starts, but ...

Seems a boring weekend is beginning, I begin with this … to stop the boredom. Say how you have started yours …

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/99/Smirnoffbottle.jpg

1 Like

Baygon!!!

1 Like

Nilikunywa half Ile hang down Niliamka nayo…

1 Like

That is a really nice photo but vodka na mimi hapana

1 Like

Mimi pombe niliacha last weekend leo niko day 5 alcohol free…mungu saidia

Napelekea mzae wangu fine Scotch whiskey.

[ATTACH=full]32887[/ATTACH]

6 Likes

Nice pic. Looks like naivasha area…

1 Like

Buda hama nyumba imekuwa partitioned na cardboard…io pesa save ujenge nyumba

2 Likes

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTu0pfQNzVfftyL0xmnhcZgLQ7ANiX-lOuxY8DpK5gj_u6ioENT

5 Likes

Ata mimi vodo siwes jaribu

1 Like

Buda, hio partition ni plywood, nili-upgrade from cardboard juzi.

7 Likes

Scotch whisky ,ndio mambo yote ::kangu ni Grants

Niko Malindi campaign. Huko tuko na sure win. Over 2.5 kwanza.

[ATTACH=full]32888[/ATTACH]

2 Likes

[ATTACH=full]32890[/ATTACH]

1 Like

Uko sure hiyo ni yako?

yes is bogonko

2 Likes

Strong.

2.5 ni odds ama… Cheza chini, hii itaenda 1X

Sure win na tayari mumeanza kulia eti kitaibiwo?

itonga cia ktalk,reo munakura tu mamirioni yenu ya end month,nest wiki mmuanse mbica za chrome fodka Na balosi…issokei,nimesahau kutaja munashoma kuku furr reo,nest wiki ni kura tu gissads Na mimero ya mbusi…issorait.enjoy

5 Likes