Weekend Rant:- Wafanyikazi wa Matajiri

We all know being near power and wealth has a way of rubbing onto you mpaka uanze kufikiria pia wewe uko na power na wealth ilhali wewe bado chieth maduong. Nini haswa husumbua wafanyikazi wa wadosi? Unapata jamaa ni maskini hohehahe but for the mere fact that amechorwa job kwa mdosi, anajiona sukari sana ni kama pia yeye ni mdosi. Having observed how his/her rich boss shabbily treat people, utapata ng’ombe pia inaanza kuvuruga watu only for the same peasant kukuita harambee ya mtoto akiingia form one ama kukuweka kwa Whatsapp group hazijuani eti anachangia sijui nini. Anasahau vile amekuwa akitreat watu kama meffi. Very sad.
This rant is powered by a kamba guy mwenye alikuwa amechorwa job kwa jirani yangu mzito fulani kwa gava. Sasa job imeisha jamaa ameshindwa ataanzia wapi kubeba vitu mpaka country bus ashike gari ya Kitui. before this, jamaa hata kusalimia wazito wa mtaa alikuwa anaona ni kibarua. kuna mluhya fulani pia alikuwa na maringo sana na ni kazi za nyumbani ameandikiwa. Ilibidi tumchangie fare ya kurudi Vihiga after kuchujwa unceremoniously. Let me not get started on some roto tank shaped okuyu lady i know. Huyo naye ni kama akili iko kwa matako yake kubwa.
END OF RANT.

Magreb uko sawa? Izi constant rants points towards some underlying issues.

[SIZE=5]Eish, boss you have ridiculed about 70 different tribes.[/SIZE]

[SIZE=5]But people must learn to practice humility. [/SIZE]

[SIZE=5]Ni aibu kubwa sana kuulizia usaidizi kwa wale ambao uliwadharau.[/SIZE]

:D:D:Dizi rant zako hunimaliza but enyewe umenena. I suspect these guys live through their bosses as a way of escaping reality. Because their reality is too painful to deal with. Mtu kama patco a man mbotch ashaeka kwa akili yake haezi fika hapo in a thousand years, so heri kudharau wanao mkumbusha umaskini yake.

Umenikumbusha mboch akichekelea mwenzake ndani ya movie shop yangu ati “huwa mnawatch aje TV ndogo ya 32inch? Sisi yetu ni ya 55 inch” Nikashindwa yenu aje na uliajiriwa ukaipata hapo? Na ni mtu ukiangalia chances are huko gichagi ata greatwall ya 14 inch hawana. Nilishangaa sana.

Kuna mamboch wengine hata hushangaa kwa nini watu hutembea kama mifugo hii Nairobi since tangu aandikwe aliendewa na gari ushago, shopping huwa anakuwa dropped and picked na akienda kupanda Mbukinya huwa anakuwa dropped and picked akirudi kutoka ushago. Ukimpata akiongea vile hapandangi matatu fwaa unaweza fikiria she is royalty.

:D:D @Douchebag amepigwa biro works

Wachaneni ma mboch waji enjoy

Eh Mzeiya,

Unafanya job gani?

Si kupenda kwao. It’s how they are conditioned to think .Whenever I engage my workers kwa farm nitasema purposely … umeosha ngombe zako, mbona mbuzi zako zimekula mahindi ya wenyewe, funga jembe ya tinga yako,pickup yako inafanya nini town etc. Giving them a false sense of entitlement n ownership. They become more responsible

Generally, self respecting grown men should not be bothered by domestic workers antics to the extent of coming here to rant about it.

Next…

I have seen it and I don’t like it.

Cc: every employee in Nairobi.

Lakini all these observations you’ve made from your vantage position aka base…?
[ATTACH=full]380040[/ATTACH]

Hii ni kali.

:D:D:D

:D:D:D:D Makes sense now.

:D:D:D:D:D…umenyimwa coomer na “high class ,employed okuyu Ako na matercore kubwa” ndio imekuuma hivi mpaka ukaamua kuanzisha thread on a holy day.

I am responsible for what I write not what you understand.

You touched a nerve

Genius. I’ll keep that in mind.
Unaonaje kutengeneza the Cow’s Creed kama ile US marine’s walikua wanarecite ya Rifle’s Creed

[INDENT]This is my rifle. There are many like it, but this one is mine.[/INDENT]
[INDENT]My rifle is my best friend. It is my life. I must master it as I must master my life.[/INDENT]
[INDENT]Without me, my rifle is useless. Without my rifle, I am useless. I must fire my rifle true. I must shoot straighter than my enemy who is trying to kill me. I must shoot him before he shoots me. I will …[/INDENT]
[INDENT]My rifle and I know that what counts in war is not the rounds we fire, the noise of our burst, nor the smoke we make. We know that it is the hits that count. We will hit …[/INDENT]
[INDENT]My rifle is human, even as I [am human], because it is my life. Thus, I will learn it as a brother. I will learn its weaknesses, its strength, its parts, its accessories, its sights and its barrel. I will keep my rifle clean and ready, even as I am clean and ready. We will become part of each other. We will …[/INDENT]
[INDENT]Before God, I swear this creed. My rifle and I are the defenders of my country. We are the masters of our enemy. We are the saviors of my life.[/INDENT]
[INDENT]So be it, until victory is America’s and there is no enemy, but peace![/INDENT]

These are my cows, there are many like them, but these ones are mine.
My cows are my best friend. They are my life. I must master them as I must master my life.
Without me, my cows are useless etc