-
14.01.2023-15.30-Manchester vs Manchester City, hii ni 50/50 lakini nata Man City walale(Arsenal Fan).
-
15.01.2023-19.30-Tottenham vs Arsenal-Arsenal inalima Mtu Tatu-Moja, Gamblers wekelea ov 2.5.
-
15.01.2023-22.00-Real Madrid vs Barcelona-
Zote GG
you are a wise man
Hio ya tatu sio derby
ni El-clasico
Over 2.5 zote
City, Tottenham, Madrid win…next
Wrong, City, Arsenal, Barcelona
Tuko nyuma ya MAEMBE wa wa Soka Manunited ikule hizo pretenders City then MIAMBA WA SOCCER Arsenali wakule Tottenham sunday then Real imumunye hao Barcachieth
Mashetani wekundu 2-2 Noisy neighbors. as much as I want City to drop points, momentum ya ManU pia inakaa kuleta matatizo
Share the streaming sites guys.
links
Harakisheni wadau, hii game inanipita.
Ango ilikuwa unyamaziie…game yetu