It starts now …
[ATTACH=full]87346[/ATTACH]
It starts now …
[ATTACH=full]87346[/ATTACH]
Leo ni Thursday Kanono.
Ooooh, uko kwa Abdul kesho ni kama Sunday.
Umejinyonga, naona Mr Olet pale jamu alikusharp !
@kush yule mnono kwani wewe huwacha kitambi home ukienda works?
Do you work on Saturdays and Sundays?
Weekend no friday n saturday
Hehe … rest assured
Kush’s mbicha proudly brought to courtesy of Arimis milking jelly.
Lakini a tie should be slightly above your waist not lower than the navels position
GAYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
so Sunday ya huko ndio mnarudi wira?
Piga kiatu picha prisss
Mi bado nitakuwa works off ni Tuesday
Awesome…hio tie iko poa
niaje huko kwa abdul mtu akitaka wera logistics za kutoka hapa vumbistan all the way to abdul’s zinakuanga aje.
Kama ni kutarmac, kam na visit visa ya 3 month=40k, 60k za hao, 10k transport, 10k food, Misilineous 20k air ticket return 50k
na huko msee hutamarc hadi viatu zinaisha kama hapa vumbistan? Naona tukikosana na mdosi wangu april.
Inategemea, kuna mtu hukam na anapata job after two days na kunawenye hukosa bado, ni we na mungu wako
oh noma. Then acha nisimake rush decision.Thanks for the intel.
Works ni Sunday to Thursday