[ATTACH=full]453962[/ATTACH]
Hiyo table inafaa balozi ama tusker.
I drink nginis
Vipi leo uko pekee yako Pyasa ama makunguru hawajafika
Wekelea keg ya Guiness, ile nyeusi ndio mambo yote
Mbilionaire anamumunya Mali yake
Hata peasants tuko na keg ya Guiness
Mbirrionaire shifu, you order one kachupa at a time:D?
Wanakuja SAA hii
This must be a pub deep in the slopes of Kangocho.
I don’t do kigi
Nitakunywa kumi but they come one by one
Figsed.
Nikiwa campus nikiwa na soo moja. I used to imbibe like a royal. Keg ya 35 na flying horse. Naweka zinaenda kuchemkia kwa tumbo. Kesi baadae.
Mbona kitambo Kama hatuna pesa tungekunywa kabisa na saa hii ukiwa na pesa pombe inatulemea
Wapi lanye
One lonely Guinness woshee.
Leta paybill chifù
Shemeji ile nissan march uliuza ama bado. Nimetembea ya kutosha.
Mimi hadi bieree na kalaluu nimevuta. Kichuri ndio nilinywassss kidogo kichovyee.