Even prisoners are treated well during weekends . Friday dinner for today is pilau and chicken
[ATTACH=full]166261[/ATTACH]
Kwani uko kamiti. Ulifanya?
ni warder
It’s the portions served that matter.
Kuna mfungwa anaskia kataste ka kuku kwa umbaaali lakini kuku yenyewe haoni.
Huyo ni trustee
trustee wanavaa civilian?
leo niliwacha tukipikiwa hii
[ATTACH=full]166273[/ATTACH]
:D:D:D:D:D
Maybe hiyo sweater ametoa kwa wasee wa rumande
Wapi mbicha ya mururu?