weekend challenge

[ATTACH=full]24560[/ATTACH]
Wapi hizi jamaa za stat. Here is something to kill boredom

2 Likes

hiyo handwriting meni

1 Like

Were it not for the complexity of the question,I would have bet my blue balls that my class 3 son wrote that…

1 Like

Watu wanafikiria juu ya pombe na kuma wewe unapost upus hapa

3 Likes

Tuko holiday mode, leta iyo maneno February

3 Likes

na mimi husema ati niko na handwriting mbaya …wah wah wah

Hehe Leo nitapokezwa kupokezwa

2 Likes

Unataka tukufanyie homwaka

HAPA UMEONGEA KAMA MAHOMO WATANO , CONGRATS

Btw unafanya hizo professional papers?

:smiley: i’d read the word “probability” as pubability" and was like :eek:

since when did they start using pubes in math?

3 Likes

Mimi hesabu ngumu kaa hii niliashia 2nd year.
Saa hii ile hesabu nawesa ng’ang’ana ni kuhesabu mbesha pekee.

2 Likes

Yes I am on my 12th brasa

2 Likes

the answer is C
[SIZE=1]the answer is always C![/SIZE]

Lool wacheni kuniambia ukweli

2 Likes

Haki ya nani hao majamaa walitudaganya high school ati vile actuaries hulipwa 1Mirrion pm nilimaliza thesis tu sijawahi guza kitabu tena

1 Like

Umeniharibia siku, stats ilifanya nikakonda.

1 Like

Na vile nilikua nimejaribu yangu yote

2 Likes

Meni tulichochwa lakini ukiguza paper uko sawa lakini heri kufanya engineering

2 Likes

Median mshahara after hizo karatasi ni ngapi?