system
1
najua uncle @uwesmake kama kawaida ako Sankara rooftop, gilbeys juu ya table mat ya green akitafuta Antonov akamue.
Anko @The_Virus najua ako mahali mansolo akikunywa Carlsberg lakini ako na wasiwasi juu teams alibet zote zinashindwa.
Anko @Web Dev must be on his 3rd bottle of beer but bill ni 15k so far. Kila mtu kwa bar anapewa kwa bill yake.
Sister purity @Purr_27 must be somewhere near natives/TRM waiting for Thika massive anko @Ice_Cube to buy for her guarana.
@Nefertities is just waiting around 9pm to take the pole.
uncle @Meria Mata must be drinking mnazi (shit smells like shit) but with a watchful eye on his phone to get first hand info on breaking news.
Mimi najitayarisha kuenda Ramogi night Carnivore.
Na wewe je? Itakubambia wapi??
Kama kawaida I wish you all an enjoyable weekend.
15 Likes
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
bii kae sankara anyieoni ario baba
system
3
[ATTACH=full]22410[/ATTACH]
6 Likes
Fala_12
6
leo najoin anko @uwesmake kwa rooftop ya sankara but kwanza naanzia kwa vip ya carwash
1 Like
Kuka kam nyama villa nibuy samaki na gilbeys. Leo manyoka zitajaa huku
1 Like
Inanirarukia mdogomdogo kwa keja…
[ATTACH=full]22411[/ATTACH]
5 Likes
m245
11
mbona remote iko mbali ivo
vuja_de
12
Okeezy pitia Pumzika Lounge (next to Villa Franca) tuchome nyama
homo @Jirani amepoteza simu amesema rent ya dandora atalipa next month
1 Like
Afro
14
Mimi nitakua tu indoors na ka-series,probably blacklist. Kesho nirauke kutafuta clients
Hio ni remote ya telly na home theater, ya Dish iko karibu na mimi.
Is my humble prombox allowed into the hallowed Carnivore grounds @Okiya.
Siwezi taka kachomwe.
1 Like
probox peleka KIAMBU NIGHT
4 Likes
vuja_de
19
Utapeleka Kemunto esagasaga night lini?
Purr_27
20
Nilitoka huko thika road… chilling with Ferre Gola karen hivi hivi