Weddings

Nilipatana na beste leo akanishow he is saving for his wedding. Obviously I encouraged him (I have learned through experience to tell people what they want to hear only). But deep down its kinda stupid to be honest. Why the fk would a guy break his back for years to finance a one-day event that doesn’t even guarantee a lifelong happy union?? Harusi wachia dynasties ama muende kwa AG or wateva cheap arrangement. Every once in a while mimi hujipata telling a bonobo what he wants to hear and I have my reasons but its sad.

Tarajia kadi ya mchango wa pesa za mahari.

Now this is an unpopular opinion that I agree with.

Lazima uwekwe kwa whatsap group.

Weddings za old money kids huwa financed na wazazi but hizi za middle class huwa za pressure.
Anyone(which is 99% of men) financing a wedding na savings zake hana akili.

character development inamgojea

True. I have attended several pale Marist University but zinakuwanga za rich kids wa Karen mostly.

Agreed wedding ni ujinga for a hustler. But dowry payment ya ngombe tano hivi sio mbaya. It makes you respected. Otherwise how will you go to your in-laws to pick your wife na hata kuku hujapeleka?
Unatumia 300k tops na unasahau story .

Wedding ni showoff ya upus

What of dowry payment? 150 tukisonga mbele ama?

Kila mtu angefikiria hivyo, caterers watu wa tent, wangelala njaa. Kila mtu na furaha yake.

Jitayarishe kuenda kuona ile dance move ya kushika kiuno wakiruka ruka like kids…sijui inaitwa nini. Hakuna kitu hunikatsia kama hio dance.

Kama ulidance hivyo kwa wedding yako wewe ni punju sana…halafu uka spread rose petals in the shape of a love heart with an arrow across kwa kitanda with a few more petals on the floor…jua wewe ni todhi jackrodhi :D:D:D shienzi sana.

Hizi ndio nini?

Sheng za 90s zote zina mean fala.

Bonobos will even form a WhatsApp group ya mchango comprising of friends and workmates then ask everyone to donate 5k

Upuss kapsar! Ni kama mwingine alikuwa ametengezeza group ya birthday,eti alikuwa anadai kuchangiwa nilikumrushia 1bob Kisha nikamsho amee akili

Aisee watu hawana akili siku hizi kabisa!!