Niko mtaani kumjulia hali walalo wangu wa kitambo ila mji huu haujachangamka kama hapo awali. Niliacha off road car wash wapunguze vumbi nika stroll kaguu. @uwesmake, nimepitia pale kwenu Absa bank, ICT officer wenu anaweza retrieve image ya light skinned hairy giant wearing a black short & open shoes akifuatilia ule muda nimepiga hii picha.
2 Likes
A once very lively town. Ndugu ni kama wewe umehamia Western kabisa. Leta kazi tufanye…tuko na prime movers kadhaa…hatuwezi kosana bei
3 Likes
Lanye wa webuye ukiingia mkia wanaweza pata ball
Nilienda hii town for the 1st time 2022 nikasikia njaa nikaingia hoteli ugali managu ilikuwa 80bob but ilislap vibaya
2 Likes
The death of pan paper killed the vibes
3 Likes
Niko na relatives hapo Lugari na Sango. Place is dead last time i visited back then hiyo barabara ilikuwa busy na lorry za kubeba miti zikitoka Timboroa. Good old days. Hizo na lorry za Volvo za Raiply
1 Like