Weather Mombasa ikiwa hivi, Nairobi si mnafreeze?

[ATTACH=full]45591[/ATTACH]
[ATTACH=full]45590[/ATTACH]

2 Likes

[ATTACH=full]45592[/ATTACH]

1 Like

hehehe that’s a joke, haswa huku parklands buda at times ni 16 low

2 Likes

Mt. Kenya region hata usitake. Visibility on some roads is almost zero

2 Likes

Cctv, cabro, street lights - - - - - > bado nini ingine.
Governor 001 like UK is assured of his seat

2 Likes

Leo naenda slopes naskia huko ni 11c

1 Like

enyewe watu huishi north-pole ni survivers

Hio sio baridi…kujeni majuu during winter ndio mtajua baridi ni nini. Kitambo nikiona wazungu kwa movie wanavaa gloves nlikuwa Nafikiri ni usofty wacha nifiki uku my friend. Ebu ingiza mkono yako kwa deep freezer for three minutes… Ehe hio ndio experience when it snows… Hata hio 11 degrees mnasema ni baridi is warm for sm of us

3 Likes

hizo camera sio kazi ya governor 001, its part of the security contract awarded to safcom.

3 Likes

CCTV cameras is National gov-Huawei-Safaricom project. Huawei did the infrastructure, Safaricom did the network, maintenance, command centre and paid for it. Government is refunding Safaricom in installments. Kama Gov oo1 ameweka hiyo cabro and street lighting makofi kwake. Hapa Gov Kidero is still designing a brilliant master-plan x20 that will once again proof his genius.

Watu wa Nairobi tumezoea July chilly weather. Watu wa Molo ni mist tu. Una guess mlango ya nyumba yako.

12 Likes

The peasants in County 001 know and believe all development is by the governor, he will win by a land slide and that’s why he is dreaming big come 2022. Ata baba is handling him with kids groves.

1 Like

@Jirani, tueleze kuhusu black ice na blizzards! In your stay there, have you ever witnessed an avalanche?

Never witnessed one… I think vitu Kama avalanche, blizzards only happen in America but I may be wrong… Sijawai experience

1 Like

:mad:Sisemi kitu :mad:

1 Like

The locals to be exact

1 Like

Alps? Natamani sana!

1 Like

Hekaya ya Kenyans an Blaze jana usiku.

1 Like

Gloves

Jana kulikuwa na joto sana… Nlikunywa kiasi nkarudi home… Leo ndo tuna happen vizuri

1 Like

In the slopes of Mount Kenya temperature asubuhi ni below 10°c

1 Like