Hizi masks tulisema ni bure hazisadii. Ati mtu anavaa surgical mask! Kama wewe si surgeon tupa mask. Hata kitu ingine kama utanusa mshuto, fegi ama fumes za diesel ukivaa mask ujue haisadii. Ask @Ngimanene na matharo how to be brave. Be Brave kama mimi na msitoo @Ngimanene na matharo ama utembee na space suit na oxygen cylinders kama wewe ni muoga.