Ona tena kama ulikuwa umeshaa ona
1 Like
Huyo msee alikua anabonga na yeye amekimbia kimbi kimbi naskia mpaka sahii anakimbia alionekana Turkmenistan mara ya mwisho.
3 Likes
Atari sana… hii ni deal ilienda visivyo.
What’s with your obsession with morbid stuff, Luka Mbûgua? Is Nabii stressing you too much?
Hakuna morbid hapa.
Hujaona cartel wakishoot mtu close range na automatic pistol, kichwa ina disintegrate inakuwa supu alafu unaona air bubbles from lungs ndani ya hio supu
hizi ni very tame
good way to go, hakuna kuwaste mali ya wajukuu ukilipa bills za cancer and still die.