We demand the old Njuguna's back!


This is too clean, too posh for us who called it tùcemanie kwa njùguna twarie ngūhe karifoti. That’s how deals worth mirrions were made there. Kunakaa kuattract sray not the old monied people who were regulars and who made Njugunas to be Njugunas. Hii mutura yao sasa inaonja aje, hata imewekwa aromat royco haina inzi, hakuna moshi, hakuna giza it’s so clean and well lit hadi inakosa ladha. Sasa ni masray wa Westlands wamejaa huko na majamaa wa you guy my guy si we kutana pale Njugush’s the nyama there slaps hard and you beba some chillez with you I don’t want to kuja with my mama

https://x.com/JanoNyaga/status/1762726358801637570?s=20

See, srays upon srays

https://x.com/AwesamC/status/1762722037850685793?s=20

Wasee hukumbuka.

Ndio maana Jasho Cafe huko downtown Nyamakima should never be renovated, huko ndio sisi business people tunakutana na kutengenesa deals, mtu anakuja anasema naleta trunking ya cable, mwingine analeta malights kutoka China, mimi nasema naweza leta masocket na maswitch na hapo hapo tunaunda electrical shop very fast, mwingine anasema anafungua shop mid town ama uptown tukuwe supplier wake na watu bourgeois wananunua x5 ile bei tulinunua. Everyone is happy na tunajengana. Anajua watu wa Uptown hawapendi downtown

11 Likes

Of course the bonobo rejects health, safety and design standards. Bushman tupu

4 Likes

My cock, that’s how we knew tuko na tumbo strong sio watu kama nyinyi mkiona inzi kwa chakula ni drama galore

6 Likes

Wameharibu hii base. Was a regular at some point especially on Fridays before sherehe, so was Eugene wamalwa. met so many big shots there. The interior of the joint had some mogaka waiters, ukikaa mgeni unarambwa bill. Miss their tumbu and free cabbage.

3 Likes

Yaaa the design is just wrong it never captured why people flocked the place , i passed hapo sijaona hio concept yao vizuri.

1 Like

Kuna bar ilikuwa hapo River road karibu na Tea Room ilikuwa inaitwa Kenya Bar sijui kama bado iko. Ilikuwa ni bar+hotel+brothel. Inakaa design ya Athunasi

1 Like

Why y’all putting @rexxsimba in a bind? Ati his people will vote for jsks? :green_emoji:

Tunajua hizo deals. After you leave the place, you call your partner after two weeks on a Sunday, ajui ata nini mliongea.

1 Like

Have you ever heard of Kikuyu Business Community- KBC??? Where you break bread with men of honor kutoka Rwathia

Hao sijawaskia. But I have heard of Nairobi Business Community.
By experience, deals discussed during choma never take off. Ujue mimi ni mfanyi biashara so I attend all kinds of proposals. I’ve learnt to separate “ feel good” proposals from actual business proposals.

Sasa hapa wamepoteza clientele juu inakaa coffee shop… kuna place kama hii hio ushamba ya kitambo ndio ilikua inaleta watu hapo. Wangerenovate choo pekee.

1 Like

It all depends who you do business with, you’ve heard the idiom people do business with people they know, right?

1 Like

They were probably losing money. If you stick to a old business model, changing times will discipline you.

2 Likes

Reminds me of kamakis, maintained that old rugged moshi look and feel - new joints were set up around theat had a newer cleaner, kutosumbiliwa (those choma guys who fights over you when getting in) feel and the new ones seem to be doing better.

1 Like

at times biashara is not about nostalgia - one has to keep up or at least keep an eye on the trends, hapa apple gave in to the phablet trend, had they stuck to their less than 5inch screens who knows they might have gone the nokia route

1 Like

Usafi muhimu, the other was a kibanda