We Are Doomed

Nijambo lakusikitisha sana baadhi ya mikoa yetu hususa… pwani yetu … elimu imezoroteka vibaya sana …wanafunzi wengi kujihusisha na starehe nyingi hata darasani hayumo …wazazi wengi hujitaidi nakuwalipia karo iliwatoto wao wasome waje baadae wajisaidie. Sasa mambo nikama haya …kuna mwanafunzi kweli???
[ATTACH=full]27236[/ATTACH]

14 Likes

He he

:D:D:D If indeed this true we are doomed.

hehe watu wa pwani are generally a lazy lot kazi tu no kubangaiza wakingoja msaada was sirkali na kukamuana mkia tu !

1 Like

We are coming for you, huwezi kutu ambia hivo

3 Likes

Kuna matajiri wengi huko. Wakiwa starehe zao ata maskini anaweza waigiza. Na vile @john_doe amesema, wapuani wanapenda ngono sana.

1 Like

wanakamuana mkia wakingoja nazi zianguke

1 Like

Achana na john dorothy, huyo kachanganyikiwa.

1 Like

kwa raha zetu…

jamaa acheni ufala. Ni wabara wangapi wazembe huko msa.

naskiaga ati place yeyote watu wanakula fish takky ya sekete ni noma tu sana.

hii joto ya mombasa make them lazy na ikifika usiku ni time ya ngono

I hear if u want to have twins go to Mombasa and be DF at noon. Hehehehehe, some stereotypes

kuna mwingine alikua akisema kwa news , vile hawana maji, " sisi pia tunatata kuwa majinolised (marginalized).

2 Likes

Usisahau… leo ni TBT! Anzisha thread I have a few interesting pics that I want to share

1 Like

Sawa boss, gojea tu kidogo nifike kwa terminal yangu

1 Like

Poa boss

Mbloo!!

@jumabekavu @kingolonde Kujeni muone huyu.
Apewe dose na balls zake ziwekwe kwa forehead

Hamna cha uvivu wowote kam sivyo Nairobi haingekuwepo. Kumbuka bandari iliko na pia ni kitovu cha utalii. Shida kubwa hapa ni kua viongozi hawatilii maanani katika maendeleo kama vile shule na vyuo vikuu.

1 Like