Wazito vipi

Sema wazito ndio kufika after long period of election yote yanawezakana bila wiper ,Ford kenya not forgetting NASA.

U

V.E pewa kiti

[ATTACH=full]166343[/ATTACH]

@The.Black.Templar pia alienda wapi?

@culture alifutwa kazi ama alipewa transfer dobley huko oongee waefae

Wamecheza chini sana na Uwes pia is MIA

Handle ya @uwesmake iko missing labda siberia noma…

It is winter. People are hibernating.

Napita tu.

@ogooti yule dem wa chama ulimkamua?

Uwes yuko siberia.

:D:D:D siku hizi kuna net ya WiFi, I know people posted over there Na hao ndio mabingwa wa WhatsApp groups, kutumia watu video za kumaliza network.

Uncle alifanya nini?

Sijui but alisema amepigwa ikweta na myamaa wa posho mill.

Murogi hawezi pigana equator .

Thought so too

Karibu. Ile chama yenyu ya mnyanduano reloaded bado iko imara?