Betin kenya[ATTACH=full]22476[/ATTACH]
Aston Villa, Sunderland, liverpool na sevilla mnaonaje
@mollisleloaded kuja hapa utupatie mwakenya
Endeleeni kuchezea pesa.
Aston Draw. Sunder HKM. Liverpool Win. Sevilla Draw
io ya liverpool ni tricky juu wamecheza thursday…so kunaweza kuwa kuwa na fatigue hapo ni 50-50 considering swansea wako unpredictable wanachapa man u na kudraw na tottenham then wanatandika na watford na norwich…draw ama narrow win for either
ill go with valencia
ill go with stoke
watford wanaua watu leo
Hio game ya aston villa inanichanganya sana
Everton vs Bournemouth, what a game!
Kwa wale wamepoteza hela poleni.
3 draws already in the Sportpesa jackpot. I doubt anyone will win it
1 Like