*Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) akiwasili katika Ofisi za Wilaya ya Mkuranga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Khadija Nassir Ali kabla ya kuanza ziara katika Kiwanda cha Vigae cha Goodwill , Sapphire Float Glass na KEDA Float Glass, Desemba 11, 2025 Mkuranga Mkoani Pwani.

