sasa wale wanaume wamelea watoto si wao bila kujua wanafaa compensation ya being defrauded ama?
No! hiyo ni shida yao na aliwaambia wasifanye due dilligence na wahakikisha dame si kunguru na pia kufanya DNA test kwa mtoto kumake sure hiyo ni copy yake.
heckayer kwanza
[ATTACH=full]253117[/ATTACH]