Wazee Kazani, Vijana Nyumbani

@pamba your fellow afande ako gazini ama kazini
Huyu mzae arudi kimilili naskia akimaliza thermos ya chai…kazi nikulala
[ATTACH=full]431271[/ATTACH]

huyo si mzee thats an experienced 45 yr old officer taking an afternoon nap . hata mimi upper hill after kukula sembe lunch huchukua 30 minute nap

Teller,Mwangi wa Ekwiti alianza kulipa vizuri ama anawanyanyasa tu?

Kuvumilia tu , ameunda 40 billion na anaongeza tu mtu alfu kumi badala ya alfu 50 banaeeeee

Hii ni mawazo wadau … io pose naijua. Hesabu imekataa kuingiana. Watu uko nje wako na some next level of stress.

MGTOW=FREEDOM…Planteshen worker ghaseer problem s , ghaseer imefanya hesabu yote Hadi “Karry Francis” na ikatumia logarithms table s lakini Bado inaona syntax error tu

Huyo ana regret zile pesa ametumia na lanye Kenya hii…anaona mabeste walishika buroti wakajenga, wengine wakona investment za kumumunua in old age yeye akiwa tu juu ya lanye. Sahi amebakisha three years aendee retirement na hana hata kakitu ka kuonyesha venye alibeba bunduki na ku harass watu

Wacha za ovyo utafanya jamaa apoteze kazi