WaTz wameniua na Kizungu hapo

http://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1069079/

1 Like

Weka hiyo article hapa hatuna wakati wa kuclick

7 Likes

Uwesclick okanyal!!!

hawa watu wa mugfool njohi wako na kashida

Banana Republic alert: Tanzanian charged for
insulting president on WhatsApp
Sasa kama kutusi JPM kwa whatsapp lands you in
court in Tanzania wangekuwa wakenya twitter si
nchi yote ingewekwa korokoroni???
Kila siku watu humshambulia uhuru na matusi
twitter the only illegal thing to do on whatsapp is
POST PICTURES OF DEAD SOLDIERS!!!
Sammy Awami
BBC Africa, Dar es Salaam
A Tanzanian is facing charges after
he allegedly shared comments on Whatsapp
calling President John Magufuli an imbecile.
Mulokozi Kyaruzi has been charged under
the controversial cybercrime law.
He is the second person to be charged under
the law for insulting the president.
The law was highly criticised for infringing
freedom of expression when it was enacted
last year.
Here is the statement of the offence:
Here’s a translation of what he is alleged to
have said:
Mnyika, mentioned in the statement, refers to
John Mnyika, a young and very vocal
opposition MP.
Read more about Tanzania’s controversial
cybercrime law .
14:32
“Doesn’t [President John Magufuli]
have advisers? Isn’t he advisable? Or
is he simply an idiot? He is such an
imbecile; he doesn’t consider the law
in place before opening his

Owesklick!!!

washenzi hao

Ndio maana pakaitwa Tanzania, kwenyu pakaitwa Kenya. Tukaneni wa kwenyu mkivuka boda kuja Tz unashikilia adabu. Raisi ni sura ya nchi, hawezi tukanwa tukanwa kiholelaholela, unakuwa unalitusi taifa. Hakuna justification hapo.
Call it banana or mangoes

4 Likes

Ndugu tutashikiliaje adabu ilhali tumeshikilia arimisi tayari

11 Likes

Shhhhhh nyamaza. Tunatazama kabumbu ya Ulaya na haina subtaitos za kiswahili

5 Likes

Hapa umenena ma-padlock.

2 Likes

ukweli lazima usemwe. ujinga ndio natoa hapa hawa makarabia polepole

4 Likes

Hapa unajiongelesha boss thie ukiumaga

1 Like

Ushenzi kiasi unafaa ukemewa, unaongea kana kwamba magufuli atakupa bibi yake umtombe ili hali wewe masikini hohe hae ata matako hujui kujipanguza rudisha domo kaya uliko toka nyoka mdaku wewe.

1 Like

haya basi umemaliza. Sasa turudi kwa taarifa ya leo

3 Likes

Jamii forum wanashangaa umeenda wapi. Rudi mkajadiliane maendeleo; domo kaya tu

1 Like

Nitakuwa nawachapa kiboko ukoloni utoke kabisa kwa mizizi yenyu

6 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:Dhuyu amemalisa mimi…

. Don’t force English my young brother. When we were going to school early in the morning to learn this language, u remained at home enthusiastically dancing (Rirandi) and preparing for daylight traditional circumsision. So plz give us a space to speak the whiteman’s language. Don’t even feel jealous because we prestegiously enjoy what we worked for… JAMII FORUM

8 Likes

Domo domo hatuwawezi, vitendo ndio zasoma sufuri. Wee kaa hapo na domo lako. Ukoloni twaupenda sana. Ndo maana wakenya wakiomoka wanaishia majuu UK na US wala sio TZ

kingereza ni ukoloni ambalo linapotosha wakenya ndugu zetu

6 Likes

Bae niaje? niko na tripe za mbuzi.

Hapa ata waka group of companies itawesa kuwakilisha… :D:D

1 Like