Waturedio bana.

Kwa nini sioni hii thread. Man utd jana wamekanyaga brukenge bila huruma. Nani aling’oa hio thread.
Moderator kueni serious bana. Hii upuzi ya thread kukosa. Itafanya nijitumee siberia as a protest.

Nimeweka hapo juu

toa ujinga hapa , ghassia

Tuliendelea na hio momentum and win the games at hand. Arsechieth will go back to its rightful number 9.

go for a refund from your maths teacher

Hao maumbwa ni mid table team, ni kiherehere wako nayo. Wakikutana na club kubwa kama City, United, Liverpool ndio udhaifu wao uonekana

man U tulisema ni maembe ,mtulie sasa.