Elders nilikua nimewashow Yule kuzo yangu anasimamisha mjengo. Mjengo imeisha, 31M imelala. Jamaa anasema forex ndio inampea doo
[ATTACH=full]495303[/ATTACH]
[ATTACH=full]495304[/ATTACH]
Elders nilikua nimewashow Yule kuzo yangu anasimamisha mjengo. Mjengo imeisha, 31M imelala. Jamaa anasema forex ndio inampea doo
[ATTACH=full]495303[/ATTACH]
[ATTACH=full]495304[/ATTACH]
:D:D:D
Forex ni code name… clearly you cannot be trusted with the truth.
Ona ata vile umekimbia hapa kusnitch.
pewa room apo kwa gate uwe caretaker sasa
Very neatly done… How are the rooms… Location nd price?
Rent ni 15k one bedroom. 19k two bedroom. Huyu amekafunga
Forex ni code for wash wash. Huyo cuzo wako amebakisha kusimama MCA 2027.
Ata heri angekuambia ni God.
Forex
[ATTACH=full]495322[/ATTACH]
Kiambu road?
What is this Forex nonsense.Sasa wanafaa watumie ujanja ingine bana.I always get pissed when people use petty lies and I see most Kenyans falling for it.I don’t give a damn about where you get your money from,lakini mtu asijaribi kuniambia hiyo ujinga ya forex.Yani hii Kenya mzima ni kama ushago,kumejaa mafala tu.That’s why we are easily conned and swindled, people are so naive and easily gullible.
Congrats to him, how big is the land
:D:D
Wapi area gani
Hapa kuna foreigner ameuziwa padlocks kama gold
[ATTACH=full]495334[/ATTACH]
A smart snitch. Niko sure ashapata DMs za how did he do it. Alafu areply this my kuzo number. Fools will soon part ways with their money
[ATTACH=full]495346[/ATTACH]
Forex = Wash wash.
Njia ni nyingi kaka, washwash (kutapeli majamaa) na ueke Forex hapo, umaraya( kuna jimama/kibaba muzee mzungu anakamuliwa mahali ama yeye ndio kitoweo, kama ni jamaa unahakika hana akili ama ujanja wa kimaisha apply hio method za mwisho.