I need something ya kuskiza via Bluetooth and something i can connect to tv with good sound technologies. Gani poa?
Home theater. With that budget nunua bic America f12 na a pair of decent bookshelf speakers kama polk audio
Nauza Dav-TZ715…it can do none of those,it is a classic though
Nunua hii system uone ukifukuzwa plot the same day…iko hadi na BT.:D:D:D below your budget but performance nayo ni top of the market. [ATTACH=full]487458[/ATTACH]
Haiwezi kuwa delivered hapa… alternative ni gani
Nataka yenye iko na modern sound technologies kina dolby etc…
Blue tooth?
dolby ni mnyama gani?
BT is Blue Tooth kizee mbona uko slow
Buy local ama kama uko patient you import. Kulikuwa na group ya fans wa home theater Facebook like 2yrs ago sijui kama bado iko
Sound technology
Website gani hii
Tafta a nice Sony soundbar. Use ya hometheater ni nini na enzi za c.d zilikwisha?
Sawa kasee. Where is the seller. I’m tired of the Haier and Von shit
this american thing, you need a converter. extra cost
Hii nayo ni overkill. Kuna beshte yangu mjaka alikua na hii woofer chini ya kitanda na amp ya pioneer. Bass inatingisha madirisha zote kwa apartments. But quality iko down.
Is being Mjaka of any significance?
Send a whatsapp msg on this number you will see their inventory. They wired a music system in my jalopy
+254 790 021009
Iko mtu anawesa kweli connect subwoofer ya matatu kwa bedsitter kama si jaluo.
Thanks