saa zingine maisha inakupea challenges ngumu banae
https://x.com/Brianclkd/status/1877273793455960415
Hii imeniguza kaka. Alafu msee akiwa born blind hakuna kitu inaeza fanywa aanze kuona?
Kuna beste yangu mtoi wake huwa na disability. Huwa na avoid kuongea about watoto nikiwa na yeye, ni msee mpoa na huwa anapenda watoi sana. Kuna dem tulisoma na yeye many years ago akona mtoi akona cerebral palsy. Kuna mambo ingine inaweza kuchizisha as a parent yani una feel you cannot do anything about the situation but accept.
Nikifikiria izo vitu ndio nasema no to kids ever. sitaki kugamble. Hata afadhali watoi wakue tuu homosexuals like @sokwemtu unaweza wafukuza. were can you take a blind kid?
Wife aki expect msee huwa na such thoughts. Unawaza kitu kiasi una shudder, fearing the worst.
Blind people go to great heights in the society same as those with hearing and talking handicap. The most challenging disability in my own view is cerebral palsy
…but ni stress kwa mzazi. Mtoi atoke tu fiti.
Yes God willing