Watu wanafikiria kujenga pigsty,.

This directive will have an impact on the costs, right?

[ATTACH=full]159920[/ATTACH]

For sand can we use quarry dust @shocks ??

and with those few words mchanga imepanda by a few thousands, kujenga lazima tujenge and sadly rent tutapandisha. hakuna njia ingine

kwani wewe nimlefi na saa kumi bado. ebu nielezee coz sijawai skia

Itajegwa na na filla kama US

Si ile kitu tunahitaji ni fine aggregate, kwani ile mchanga hutumika naikuru and environs iko na tofauti gani na quarry dust

Hakuna kitu huyu cs atafanya… The most incompetent cs yet

We are screwed either way. Since last year in some selected areas chiefs have bn enforcing the ban on sand harvesting.

mdomo mingi bila meno

Hawa washenz wamemaliza kujenga sasa wanaona waeke ban. Tano Terror condinues! Next ni car wash na swimming pools zitafungwa

Exactly

Kuna talker yeyote anauza seedlings za bullgum ama eucalyptus?? Inbox

swali ni…has he gazetted the same ama ni loud mouth tu

Lound mouth ya busybody tuu.

:D:D
Yes.
[ATTACH=full]159928[/ATTACH]

Kuna shimo mingi za mchanga watu bado gundua. Formed from ancient river basins. Ata mimi pengine najua moja lakini siwezi sema.

Yeye ni kizungu yake mingi, let’s support him and see whether he will make a difference

si iko sand mingi kwa beach na huko marsabit,kujenga haitaisha

I think he meant Vumbi…the smallest kokoto.

Literally hii statement nikama kusema kuna vibogoyo wengi …that mental image