Watu wanadhahi uko sawa juu unafanya lavish hotel Runda kumbe hujalipwa for months

many companies are struggling to pay…
https://twitter.com/C_NyaKundiH/status/1789996016369811687

1 Like

How did they survive for 8 months without salaries? Meffi story

1 Like

tips maybe, others just cling on hoping money will be paid coz hawana plan B… I have a friend at standard media group pia wao hajawahi lipwa for 5 months. Hizi si story za jaba jamaa…

8 Likes

Noma sana. 5 Months alafu doo ikiingia hivi nikuanza kulipa madeni. Rent unapata ishafika 125K ama saidi kwa wale hulipa 25k plus, alafu school fees deni ya last term(s)…, alafu groceries…madeni kwa kila shop na ma beste…unapata kama alikuwa ameshikwa 600-800k yote inakatika anabaki na 20k. Anaanza tena safari mpya ka ku accumulate debts.

Madeni ni kitu mbaya saidi. This underscores the importance of running a side hustle…unaikula polepole tu. Hio mshahara ikiingia ana invest badala ya kulipa madeni. Hii pia inafunza wengi uzuri ya kushika ka buroti maguta maguta…unajenga ka structure na kujifix na familia kukiharibika…

4 Likes

I agree. Try as much as you can to have multiple sources of income.

2 Likes

yeye atleast ako na side hustle that is sustaining him… Aliniambia if they won;t have paid in the next 2 months, he will quit to concentrate on his side hustle

1 Like

Wamekuwa waki survive na ma 150…badala ya kuenda place finest kuji nice wanafika calabash wanashika keg na lanye, stress inaisha, wanalala calabash kama customers, wanakula road side food siku inaisha…wamekuwa wakidu hivo for five months…unacheza na survival tactics kaka. job wanaenda kalesa wakidandia ma lorry kwa wale wanaishi place kama chokaa, wakifika tao wanatoa suti zao kwa mkoba wakiwa kwa loo za kanjo na kuzidunga. Wanatoka wakiwa smart. Kenyans ni wajanja saidi. Niliona wasee huishi hata kwa gari zao kaka.

2 Likes

Better kujenga biz, polepole tu hadi inakubali. kuchorwa job ukiwa skillful ni jokes…that is according to me…elders will disagree although sio kazi zote

1 Like
1 Like

Situation kama hio inaweza fanya msee a-fyatu. Kuna day nilijipiga testing wazimu and see how I could survive…nikaweka doo yote kwa fixed savings nione kama nita manage…hapo ndio nilikuja kujua sio kurahisi. Nilikuwa nacheki sijalipa ofisi, sijalipa staff, sijalipa net, sijaweka ya mafuta na service, sijalipa kijana huwa natuma hapa na pale, sijalipa fee, sijapeana madoo za matumizi kejani, sijalipa net, token inakatika sijalipa, yani sikuwa nmefanya kitu…nilitaka kuona how it feels and I confimred it is even harder for those who are not expecting anything kabla siku iishe ama wale hawana hopes watapata doo. Since then naheshimu pesa. Ukiwa na something kwa mbosho mashida nika huwa zinakuwa postponed. Noma sana.

2 Likes

Not everybody is brought up on entrepreneural background, tulia elder!!!

1 Like

I had Dinner there once with a very bootylicious Lady …
A Story for another day … :blush:

Mimi kama okuyu nikiwa employed I always have a running side hustle employer akileta ujinga namuacha.

Wasahau hiyo deni. Its soo hard for the establishment to catch up on those months debts.

They are fixing the handshake.

I thought it’s owned by Gideon moi, or he leased it out? Staff wa fancy restaurants make alot on tips

Vile @sani atasema.

1 Like

Nope. Tipping is very subjective in Kenya. Most people dont tip hapo kwa hizo fancy restaurants. I know this because I have tried a few, and when I tip the waitresses, they stare at me confused.

2 Likes

Haiombwi hivo kaka :grin:

1 Like

Exactly my point. Kutip waitress dem ninja
Kumuomba bidhaa @Dudu1

2 Likes