Watu wako na shida hii Kanairo

I once visited three women in their houses a few years ago when I was living in Nairobi. What I noticed is that all of them heavily depended on men in one way or the other to meet their needs. All of them had small kids and all of them were sleeping on the floor. Kutandika mattress kwa simiti. Lakini ukikutana na MTU town you think anakaa zile mansion za Runda.

https://www.youtube.com/watch?v=8vc0PdiYMJ8:121

Don’t be deceived by people appearance.Hii Nairobi mtu unafaa ku pity ndio anakukosesha usingizi.

:smiley:

Then wakifika ocha wao ndio wanatutoanisha vile tuko nyuma hatujui kuishi

Exactly

Ata huku Campo…ladies wanatumia betas kama tissue…a nigga heavily depending on his parents anatumia Dem yake 3k ya shopping and she uses the money kuendea dick huko coast

Sijakuelewa

“Birrionaire confesses that he slept with slum-dwelling women” - Daily News Global

They say you’re what you attract

vijana walizaliwa year 2000 and above wanaongea lugha ingine haieleweki banae.

mimi juzi nimekutana na young cousins nikasema niwashikie Jameson mzinga tumeze nikiwapa advice. wakishalewa wakaanza story ati ohhh kuna mujamaa alinyanganywa BOB kumi na dem wake kwa nyumba sasa jamaa ameshindwa vile atamaliza semester .

nikashangaa bob kumi hata si unaokota kwa njia hata hakuna mutura ya BOB kumi siku hizi but nikanyamazaa tu nikaona hawa vijana ni walevi but in the end nikawaambia si TEN BOB wangempea tu , nikachekelewa na kuambiwa BOB ni thao :D:D:D:D . nikaona hawa vijana ni washenzi kwani creativity ilienda wapi ? BOB itakuwa thao aje

Sasa @ChifuMbitika , ulinunua vitanda ama uliona vizuri uanike shida zao kwenye mtandao ?

Kids born after 2000 are as dumb as a doorknob. But maybe we are getting old and can’t understand them

I bought

Huko ndio huwa unapikia pork?

No

Si tulidhani unaishi Runda.

Maisha ni funny though. Our thoughts are largely influenced by our environment. In South Korea, many people place their mattress on the floor.
Anyway, watu wa 2000s mi nawapenda, they are venturing into enterprises many of us would not think of.

An example

A woman is designed to depend on a man. Lazima ang’are apendeze ndio aweze ku survive. Akijiachilia atakosa ya kula.