hahahaha wachman amenyukwa lakini pia yeye anafaa kujua watu wa kushika hiyo mwili yote alidhani ataogopa uniform
Hehehehe, watchman ana jokes, ma left rights amekula leo, kwani kwa watchman school huwa hawafunzwi hand to hand combat kiasi
Know pple
hehehehe
watchie anapanguza jasho ya uso na Fabric iko display
Na vile alikua ameshika hio nyahunyo so confidently ungedhania ni Thor na Mjolnir. Inakaa alisahau kuactivate superpowers. Bure kabisa.
ni damu msee
Huko ni kisum ama juba?
Naijo, kulikuwa na “my broda” accent hapo
hahahahhahahahahaha. Watchie should have waited for reinforcement
hahhahahahha watchie amenyukwa ile hakuna…haha
Hahahaha… Watchie alibakia hivi.
[ATTACH=full]27478[/ATTACH]
Woiye
Napenda sana. Hii tabia ya kushika mwanaume mzima shati ikome
Amekula mangumi mpaka akachanganyikwa
[ATTACH=full]27483[/ATTACH]
hhhhhehehhehehehe WOCHI AMEKUTANA NA SERIKALI
FINISH HIM!!!
angempiga RKO
https://da8lb468m8h1w.cloudfront.net/v2/cpanel/8767610-114015059_5-s1-v1.png?palette=1
This video always cracks me up!
That guy is super fast.